Yanga ilikuwa bora zaidi dhidi ya Azam
Ni moja kati ya mechi nzuri ya kuvutia na iliyokuwa na ushindani wa kimbinu kwa pande zote, naweza nikasema timu zimeonesha kwa nini zipo nafasi za juu kunako msimamo wa ligi Azam FC ambao wenyewe ndio walikuwa wenyeji wakicheza kwenye uwanja wao wa Azam complex, ambapo waliingia kwenye mchezo wa...