Ligi Kuu

Ligi Kuu

Jana ya Simba ilipandwa na Manara!

Siyo jambo la busara na siyo la kibusara kabisa kwa shabiki wa mpira wa miguu kufanya shambulio kwa mtu kutokana na aina ya matokeo yanayopatikana ndani ya uwanja. Huu ni ukosefu wa nidhamu, nidhamu ambayo huwa tunaihubiri kila Siku kwa wachezaji wetu kuwa nayo, na kwetu sisi mashabiki tunatakiwa kuwa...
Ligi Kuu

Maamuzi magumu yananukia Simba Sc

Baada ya klabu ya Simba kupoteza mchezo wake dhidi ya Mbao Fc kwa bao 1, kuna uwezekano klabu hiyo inaelekea kufanya maamuzi magumu lakini yenye maslahi si muda sasa. Kwa mujibu wa ujumbe mfupi kutoka kwa Msemaji wa klabu hiyo, Hahi Manara, ameonyesha dhamira hiyo ikiwa pamoja na kuwaomba radhi...
Ligi Kuu

Mbao yazidi kumpa ‘kiki’ Masoud Djuma

Uwanja wa CCM Kirumba ulikuwa sehemu sahihi ya hukumu ya kesi kati ya Simba na Mbao. Mbao walikuwa wanawakaribisha Simba ambayo ilitoka Mtwara ikiwa na alama moja baada ya kutoka suluhu na Ndanda FC. Matokeo dhidi ya Ndanda FC yalionesha dhahiri Simba ilitumia nguvu kubwa kwenye mechi hiyo ya ugenini....
Ligi Kuu

Mbao na Simba, mechi yenye mabao mengi!

Mechi ya pili ya Simba kwenye uwanja wa ugenini. Ndanda FC walikataa uteja kwa Simba!. Mechi nane (8) kabla ya mechi ya msimu huu dhidi ya Ndanda FC , Simba walikuwa wameshinda mechi zote nane. Ndanda FC msimu huu amejifariji kidogo kwa suluhu ya bila kufungana. Simba anaenda CCM Kirumba , eneo...
Ligi Kuu

Wachezaji Simba wapewa mtihani mzito!

Kuelekea katika mchezo wao wa nne wa ligi kuu Bara dhidi ya Mbao utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba uongozi wa klabu hiyo umetoa kauli nzito kuelekea kwa wachezaji na mashabiki wa Wekundu wa Msimbazi Simba. Kuelekea mchezo huo wa leo msemaji wa Klabu ya Simba Hajji Manara amesema "Tumewaambia...
Ligi Kuu

Hassan Dilunga kuwakosa Mbao FC.

Kiungo mshambuliaji Hassan Dilunga na Beki wa pembeni Asante Kwasi wataukosa mchezo wa ligi dhidi ya Mbao FC utakaofanyika siku ya Alhamis kwenye uwanja CCM kirumba kutokana na kuwa na Majeraha. Kocha mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema wachezaji hao wanaungana na Mzamiru Yassin ambaye naye bado ana majeraha kuwa...
Ligi Kuu

Ruvu Shooting kucheza na Mbeya City bila ya nyota 16.

Klabu ya soka ya Ruvu Shooting itaendelea kuwakosa wachezaji wao 16 kuelekea mchezo kwenye mchezo wa Ligi Kuu soka Tanzania dhidi ya Mbeya City siku ya Jumatano kwenye uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya. Wachezaji nane kati hao 16 ni wale wa kikosi cha kwanza ambao wameachwa kabisa mkoani...
1 70 71 72 73 74 94
Page 72 of 94