Ligi Kuu

Ligi Kuu

Ndugai mgeni Rasmi, mechi ya Simba na Yanga.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Job Ndugai anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara utakaowakutanisha watani wa Jadi Simba na Yanga kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam Jumapili hii. Ndugai atashuhudia mchezo huo wa kwanza kwa msimu huu kuwakutanisha...
Ligi Kuu

Alliance yapata ushindi wa kwanza TPL.

Timu ya soka ya Alliance ya Jijini Mwanza imeonja kwa mara ya kwanza ushindi katika michezo ya ligi kuu toka ilipopanda baada ya kuichabanga timu ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) kwa mabao 2-1. Mabao ya Dickson Ambundo na Juhudi Philimoni katika dakika ya tano na dakika ya 10 ndiyo yamepeleka...
Ligi Kuu

Boaz: Tuchangie ’tukamuue’ mnyama!

Katibu wa matawi ya klabu ya Yanga, Bwana Boaz Ikupilika amewaasa Wanayanga kuongeza kasi ya uchangiaji ili kuipa hamasa timu yao kushinda mchezo wa jumapili. Huu ndio ujumbe to uti yetu imepokea: “Wanayanga niwaombe tuendelee kuichangia timu yetu kwa sasa ili tuwape hamasa kuelekea kuua mnyama jumapili, ukishachangia klabu yako...
Ligi Kuu

Nani kuibuka galacha wa mabao wa Mwezi wa Tisa?

Tovuti ya kandanda inahifadhi kumbukumbu za idadi ya magoli yaliyofungwa wakati wa mechi za Ligi Kuu, Tukiwa na lengo la kuwazawadia wachezaji wanaoongoza katika ufungwaji magoli kila mwezi. Kwa mwezi uliopita (Wa nane), Meddie Kagere ndio alikuwa kinara wa mabao. Mwezi utafungwa kwa mechi kali ya watani wa jadi, Simba vs...
Ligi Kuu

Rasmi: Ngoma kurejea uwanjani, mechi dhidi ya Lipuli.

Mshambuliaji wa timu ya soka ya Azam FC Donald Ngoma huenda akaonekana kwa mara ya kwanza kunako michuano ya ligi kuu soka Tanzania Bara pale timu yake itakapokuwa ikipepetana na Lipuli FC siku ya Ijumaa. Ngoma ambaye amekuwa na mejaraha ya muda mrefu, ambayo yalimfanya kuvunja mkataba na Yanga na...
Ligi Kuu

Mashabiki wa Mbao waombwa kutotegemea makubwa.

Nahodha wa timu ya soka ya Mbao ya jijini Mwanza, Robert Ndaki amewaomba mashabiki wa timu hiyo kuwa watulivu na kutotegemea makubwa kutoka kwao kipindi hiki ambacho wanafanya vizuri bali wanachotakiwa ni kuwaombea na kuwaunga mkono kwa kila mchezo wa ligi. Ndaki amesema matokeo ambayo wanazidi kuyapata si kwamba ndio...
1 68 69 70 71 72 94
Page 70 of 94