Ibrahim Ajib: Hatupaswi kulaumiana, hata wachezaji hatujui kilichotokea.
KIUNGO- mshambulizi wa Yanga SC, Ibrahim Ajib amewataka mashabiki, wapenzi na wanachama wa klabu kuacha kulaumiana kutokana na matokeo ya 4-3 dhidi ya Stand United. Mashabiki wengi wa mabingwa hao mara 27 wa kihistoria wamekuwa wakilaumu namna safu yao ya ulinzi ilivyocheza, uku wakimtupia lawama nyingi zaidi golikipa wao Mcongo,...