Ligi Kuu

Ligi Kuu

Kilao: Azam lazima waache pointi Shinyanga

Katibu mkuu wa klabu ya soka ya Mwadui ya mkoani Shinyanga Ramadhan Kilao amesema wamejiandaa vyema kuelekea katika mchezo wao wa tatu wa ligi kuu soka Tanzania bara dhidi ya Azam FC na kwamba safari hii watahakikisha wanapata pointi zote tatu. Akizungumza na mtandao huu Kilao amesema katika michezo miwili...
Ligi Kuu

Alliance wajichimbia Iringa kuwawinda Mbeya City.

Timu ya soka ya Alliance imeendelea na maandalizi ya mchezo wake ujao wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Mbeya City utakaochezwa Jumapili ya Septemba 16, 2018 katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya. Taarifa ya klabu hiyo kwa vyombo vya habari imesema kuwa mchezo huo ni mchezo muhimu...
Ligi Kuu

Yanga SC: TFF wanajua ukweli kuhusu MO Banka, waseme…

Kaimu katibu mkuu wa Yanga SC, Omary Kaya amenukuliwa kwamba Shirikisho la soka nchini (TFF) ndiyo wanaoweza kuzungumza kuhusu kufungiwa kwa kiungo wao Mohamed Issa ‘Banka‘ Mara baada ya tovuti hii (kandanda.co.tz) kuhoji kwanini Banka hajaanza kuitumikia Yanga iliyomsajili katika usajili uliofungwa hivi karibuni. Mengi yamekuwa yakisemwa kuhusu mchezaji huyo wa...
Ligi Kuu

Hadithi ya Kagere haitofautiani na Okwi

Hutokosea kipindi utakaposema nyumbani kwa Emmanuel Okwi ni kwenye klabu ya Simba. Hapa ndipo kwao, wazazi wake wamezaliwa hapa na ndugu zake wanapatikana hapa, kwa kifupi furaha yake inapatikana hapa. Anadekezwa sana, anajaliwa sana kwa kifupi ni mtoto kipenzi kati ya watoto wa mzee msimbazi. Ingawa mzee msimbazi hakumzaa yeye...
Ligi Kuu

Ngoma kuanza kugawa dozi hizi karibuni.

Mshambuliaji wa wanarambaramba Azam FC Mzimbabwe Donald Ngoma anatarajiwa kurejea dimbani hivi karibuni licha ya taarifa ya klabu hiyo kuthibitisha kuwa bado mchezaji huyo hajaanza mazoezi na wenzake. Kwa mujibu wa afisa habari wa Azam FC Jaffary Idd Maganga ni kwamba mchezaji huyo ambaye amejiunga mwezi Juni akitokea Yanga, bado...
Ligi Kuu

Ukweli huu kuhusu Mo Banka umefichwa?

Mara baada ya leo kuandika makala kuhusu kiungo Mohamed Issa ‘Banka’ na kuhoji kwanini hayupo klabuni Yanga licha ya kusainiwa karibia miezi miwili sasa, ukweli ambao umepatikana ni kwamba mchezaji huyo wa Zanzibar amefungiwa kucheza soka kwa mwaka mmoja na Shirikisho la soka Afrika-Caf. >>Mohamed Issa ‘Banka‘ ni usajili mwingine...
Ligi Kuu

Nswanzurimo: Tumecheza na mabingwa, matokeo yasiwaumize

Kocha wa timu ya soka ya Mbeya City ya jijini Mbeya ‘wanakomakumwanya’ Ramadhan Nswanzurimo amewatoa hofu wapenzi na mashabiki wa timu hiyo kuwa wasijisikie vibaya kutoka vichapo vitatu mfululizo vya ligi kuu soka Tanzania Bara. Nswanzurimo amesema mpaka sasa Mbeya City ndio timu pekee ambayo imecheza na Bingwa na kaimu...
1 72 73 74 75 76 94
Page 74 of 94