Ligi Kuu

Ligi Kuu

Mbao FC, ‘Mambo Gawize’ waitoa Yanga kileleni.

Timu ya soka ya Mbao ‘Wabishi’ kutoka jijini Mwanza wameendelea kufanya vyema katika msimu wa 2018/2019 wa ligi kuu soka Tanzania Bara baada ya jioni ya leo kuibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya timu ya soka ya Tanzania Prisons. Katika mchezo huo ambao ulikuwa wa kuvutia katika...
Ligi Kuu

Simba yawahi Dar kujiandaa na mechi dhidi ya Yanga.

Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club kinatarajiwa kuwasiri jijini Dar es Salaam leo Jioni kujiandaa na mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara dhidi ya watani zao Dar Young Africans Jumapili ya Septemba 30 mwaka huu. Simba ambao wametoka kupata ushindi mnono wa mabao 3-1 dhidi ya Mwadui...
Ligi Kuu

Huu ndio mchanganuo wa magoli 100 ya John Bocco

Nahodha wa zamani wa Azam fc na wa sasa wa Simba Sports Club amefanikiwa kufunga magoli 100 katika Ligi Kuu Bara baada ya kuvitumikia vilabu viwili vikubwa nchini Tanzania yaani Simba Sc na Azam fc. Katika magoli 100 ya Bocco aliyafunga kuanzia mwaka 2008 katika msimu wake wa kwanza akiwa...
Ligi Kuu

John Bocco aweka rekodi hii katika Ligi!

Mshambuliaji na nahodha wa Simba John Raphael Bocco amefanikiwa kuweka rekodi mpya ya ufungaji katika Ligi Kuu Bara katika msimu huu. John Bocco anakua mchezaji wa kwanza kuweza kufunga magoli 100 katika Ligi Kuu ya Tanzânia Bara tangu ilipobadilishwa jina kutoka Ligi daraja lá kwanza Tanzania na kuitwa Ligi Kuu Bara....
Ligi Kuu

John Bocco kuikosa Yanga

Nahodha wa Simba Sports Club John Raphael Bocco ataukosa mchezo wa klabu yake dhidi ya mahasimu wao Yanga utakaopigwa September 30. John Bocco ataukosa mchezo huo baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja na mwamuzi baada ya kumpiga ngumi mlinzi wa klabu ya Mwadui katika mchezo uliopigwa katika...
Ligi Kuu

Yanga mtafuteni Amri Said ana dawa ya Simba!

Huku zikiwa zimebaki takribani siku saba pekee kufikia September 30 ambapo Simba na Yanga zitakutana katika mchezo wa ligi kuu Bara tayari joto lá pambano hilo limeshaanza kupanda! Kwa kuonyesha hilo tayari timu hizo zimeshasogezewa mbele mechi za katikati ya wiki ili zipate muda wa kujianda na mtanange huo. Simba...
Ligi Kuu

Simba na Yanga zabadili ratiba ya Ligi Kuu!

Taarifa ambayo imetolewa na Shirikisho la Kandanda Tanzania, TFF, kupitia bodi ya Ligi Kuu chini ya mkurugenzi mkuu, Bwana Michael Wambura, ni kwamba mechi mbili zilizozihusu Yanga na Simba zimefutwa. Mechi hizo zilizofutwa ni hizi hapa chini: Sababu ya kufutwa mechi hizi hazijatajwa, lakini yawezekana ratiba ngumu nje ya Dar,...
1 69 70 71 72 73 94
Page 71 of 94