Uhuru Suleiman, Muivory Coast waiponza Biashara United
Kocha mkuu wa Biashara United ya mkoani Mara Hitimana Thiery ameitaja safu yake ya ushambuliaji kuwa ndio chanzo cha kupoteza katika mchezo wa ligi dhidi ya Stand United, kwani mbali na kukosa nafasi nyingi za wazi lakini pia waliwakosa wachezaji tegemeo katika eneo hilo. Akizungumza na mtandao huu, Hitimana amesema...