Beki Mwadui FC, aitamani Singida Utd
Beki wa pembeni wa Mwadui FC, Miraji Makka amesema baada ya timu yake kupoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Kagera Sugar, wamejipanga kuhakikisha wanaibuka na ushindi dhidi ya Singida United katika mchezo wa ligi Kuu bara utakaofanyika Jumamosi hii kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida. Akizungumza na mtandao huu Makka...