Wachezaji watano wa Yanga wasiostahili kuwepo msimu ujao
1: Nadir Haroub "Cannavaro". Hapana shaka Jangwa la kariakoo ni tofauti na ma Jangwa mengine. Ukame ndiyo sifa pekee ya Jangwa lolote, lakini hii imekuwa tofauti na jangwa la Kariakoo, jangwa ambalo lina vipindi vyote, vipindi vya masika na vipindi vya kiangazi. Alikuja jangwani akiwa na umbo la shina la...