Ligi Kuu

Ligi Kuu

Nafasi ya Manji inatakiwa kujazwa

Shirikisho la soka nchini ( TFF) limeziagiza vilabu vya Coastal Union na Yanga sc, kufanya uchaguzi ili kuziba nafasi zilizoachwa wazi na viongozi wao waliojiuzuru. Kwa mujibu wa balua iliyotoka kwa kaimu Katibu mkuu wa Shirikisho hilo kwenda kwa Mwenyekiti wa Kamati ya uchaguzi ya Shirikisho hilo, Rovacatus Kuuli, imezitaka...
Ligi Kuu

Azam waipigia mazoezi magumu Majimaji

Kikosi cha wanarambaramba Azam FC jioni ya leo kimefanya mazoezi yake ya kwanza toka walipotoka kupokea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa wapiga debe Stand United siku ya Jumapili katika mfululizo wa ligi kuu soka Tanzania Bara. Azam ambao wamerejea jana wakitoka Mkoani Shinyanga wameanza mazoezi hayo wakiwa katika maandalizi...
Ligi Kuu

Tazama jinsi AzamFc ilivyoipa ubingwa Simba Sc!

Simba Sc inakaribia kuchukua ubingwa wa Tanzania Bara huku baada ya kuukosa takribani miaka mitano wakisaliwa  na michezo mitatu pekee wakihitaji alama mbili tuu. Wamebakiwa na michezo miwili ugenini (dhidi ya Singida utd na Majimaji ya Songea) na mchezo mmoja nyumbani dhidi ya Kagera Sugar. Mpira wa kisasa wanasema unahitaji...
Ligi Kuu

Tulihoji umri wa Okwi, Miguu yake imetupa majibu.

Hapana shaka hakuna mchezaji ambaye ni kipenzi cha wana Simba kwa miaka ya hivi karibuni kama Emmanuel Okwi. Mfalme wa himaya ya msimbazi, mfalme ambaye aliwahi kwenda kuishi kwenye ufalme wa Jangwani. Ufalme ambao kwake yeye haukuwa ufalme wenye furaha, hakuna kitu kikubwa alichokifanya pale jangwani kwa sababu miguu yake...
Ligi Kuu

Yanga ina kikosi chepesi katika michuano migumu.

Kuna habari nyingi sana huwa zinanichanganya kichwa, habari ambazo huwa zinanifanya niwaze. Tafakuri yangu huchukua muda mrefu sana lakini majibu yake huwa tofauti na mitazamo ya walio wengi. Ndimi za watu wengi zinakiri kuwa ligi yetu ni ngumu, ndimi hizi huwa zinanichosha pale zinapohubiri ugumu wa ligi yetu kutokana na...
Ligi Kuu

Akilimali atoa neno la moyoni

Katibu wa Baraza la Wazee wa Yanga SC, Ibrahim Akilimali, ameweka wazi kuwa baadhi ya wachezaji walioshindwa kusafiri na timu kuelekea Algeria hapo jana kwa kusema kuwa wanaidai klabu hiyo Kikosi cha Yanga SC, kiliondoka jana Alasiri kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wa mzunguuko wa kwanza wa hatua ya...
Ligi Kuu

Okwi na Bocco wagaragazwa.

Mshambuliaji wa timu ya Majimaji, Marcel Kaheza amechaguliwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Vodacom mwezi Aprili. Kaheza atapewa fedha milioni moja na wadhamini wakuu wa ligi Kampuni ya Vodacom, kisimbuzi cha Azam TV Kaheza amewapiku washambuliaji nyota wa timu ya Simba, John Bocco na Emmanuel Okwi kwenye kinyang'anyiro hicho....
Ligi Kuu

Yondani na Haji Manara waadhibiwa na TFF

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi (Kamati ya Saa) katika kikao chake cha Mei 1, 2018 chini ya Mwenyekiti wake Bw. Clement Sanga ilipitia matukio mbalimbali ya Ligi Kuu ya Vodacom, na malalamiko ya klabu za Yanga na Arusha FC na kuyafanyia uamuzi. Mechi namba 199 (Mbeya City 1...
1 79 80 81 82 83 94
Page 81 of 94