Ligi Kuu

Ligi Kuu

Simba imechelewa kumfukuza Omog

Ilianza kama tetesi. Ikaja kama uvumi. Hatimaye imekuja kuwa kweli. Simba imeachana na kocha wao Mcameroon Joseph Omog. Kila zuri na baya la Omog litabaki kwenye vitabu vyetu vya kumbukumbu. Binafsi naamini kuna kosa Simba imelifanya juu ya Omog. Kosa lenyewe ni kuchelewa kumfukuza. Nitakuelezea huko chini jinsi ilivyochelewa na...
Ligi Kuu

Nifikishie salamu zangu kwa Rais Karia

Kumekuwa na maneno mengi sana mitandaoni kila mtu akionesha ufundi wake wa kulaumu iwe kwa makusudi ama kwa kutoelewa vizuri taarifa iliyotolewa juu ya michezo ya ndondo kufanyika kwa kibali Wapo wanajaribu kuipotosha jamii.....lakini pia wapo wanaojaribu kuipa elimu jamii kuhusiana na taarifa hiyo iliyotolewa na Tff Tff kimekuwa chombo...
Ligi KuuUhamisho

Mgosi ‘again’? Naweka karata yangu kwake

MUSSA Hassan Mussa Mgosi amerudi tena uwanjani baada ya miezi kadhaa kujitokeza uwanja Taifa kulikokuwa kumetamalaki mashabiki wa Simba na kuchukua kipaza sauti na kusema ameamua kustahafu soka. Japo nilikuwa mbali na Mgosi alipokuwa akizungumza maneno yale, lakini alionekana kama mtu aliyestahafishwa sio kustahafu kwa matakwa yake. Alitoa chozi la...
Ligi KuuUhamisho

Kwasi Ruksa kwenda Simba Sc

Taarifa hii ni kutoka katika klabu ya Lipuli Fc. Uongozi wa LIPULI FC unapenda kutoa taarifa kwa wanachama, mashabiki na wapenzi wake juu ya hatma ya mchezaji Asante Kwasi ambaye toka kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu amekuwa mchezaji halali wa LIPULI FC lakini ktk siku za hivi...
Ligi KuuUhamisho

Kwasi ni wa Lipuli FC

Lipuli FC, yenye maskani yake katika mji wa Iringa, imekanusha kwa nguvu zote kuhusiana na uvumi wa beki wao kisiki Asante Kwasi kuhusu kuachana na klabu hiyo. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Uongozi wa timu ya Lipuli Fc ya mkoani Iringa unapenda kuchukua wasaa huu kukanusha uwepo wa mazungumzo ya...
Ligi Kuu

Mkwasa tusaidie ukweli wa Ngoma

KELELE za Donald Ngoma zimekuwa nyingi mitaa ya Jangwani. Dakika moja mwanachama huyu anazungumza hivi, dakika nyingine mwanachama yule anazungumza vile. Ngoma ndio ajenda kuu kwenye mazungumzo ya Yanga wakati huu. Kalamu yangu inayomalizia saa chache huku fungate nayo imeshitushwa na Ngoma. Mjadala wake umetikisa hadi makundi ya WhatsApp niliyoko....
Ligi Kuu

Mtazamo wangu Ligi Kuu- VPL.

Kulikuwa na dalili za Mbaraka Yusufu mshambuliaji wa Kagera Sugar kuibuka mchezaji bora wa ligi kuu msimu huu wa 2016-17 lakini kadi nyekundu mechi ya juzi na Yanga SC inamtoa katika kinyang'anyiro hicho . Suala la nidhamu huenda likachafua mbio hizo. Namuona Haruna Niyonzima kurudi kwenye tuzo za mchezaji bora...
1 92 93 94
Page 94 of 94