Mabingwa Afrika

Mabingwa Afrika

Ratiba kamili ya ligi ya mabingwa Africa

Shirikisho la soka barani Africa (CAF) imetoa ratiba ya michezo yote ya raundi ya kwanza itakayopigwa December 14 mpaka 16 na kurudiana tena wiki moja baadae kati ya December 21 na 23. Ratiba Kamili ya Ligi ya Mabingwa Africa : Constantine (Algeria) vs Vipers (Uganda) Orlan Pirates (RSA) vs African...
Mabingwa Afrika

Kessy na Chama wanarudi nyumbani aiseeh!

Ligi ya klabu bingwa barani Africa imemaliza hatua ya awali na sasa inaingia mzunguko wa kwanza ambapo utapigwa tena katika ya December 14 na 16 na michezo ya marudiano utapigwa kati ya December 22 na 24. Wachezaji wawili wa kimataifa katika vilabu vya Nkana Rangers ya Zambia na Simba sc...
Mabingwa Afrika

Simba ni mwendo wa 4G tuu!

Klabu ya soka ya Simba imeendeleza ubabe ugenini katika michuano ya klabu bingwa Africa baada ya kuiadhibu Mbabane Swallors nyumbani kwao. SimbaSc imeifunga mabao manne kwa sifuri Mbabane Swallors katika mchezo wa marudiano uliofanyika kwao katika uwanja wa Manzini nchini Swatziland. Alikua ni Cletus Chota Chama aliefungua kalamu ya mabao...
Mabingwa Afrika

Simba wafanyiwa “figisufigisu” ugenini.

Klabu ya Simba imewasili jana Uswatini ikitokea Afrika ya kusini, huku wakigawana vikosi viwili kwa kuwa ndege iliyokuwa iwafikishe Uswatini haikuwa na uwezo wa kubeba kikosi chote, badala yake kikosi cha kwanza kiliwasili saa saba mchana  na kingine kikiwasili saa tisa. Akielezea juu ya hali ya hewa na wachezaji kwa...
1 15 16 17 18 19
Page 17 of 19