Sambaza....

Shirikisho la soka barani Africa (CAF) imetoa ratiba ya michezo yote ya raundi ya kwanza itakayopigwa December 14 mpaka 16 na kurudiana tena wiki moja baadae kati ya December 21 na 23.

Ratiba Kamili ya Ligi ya Mabingwa Africa :

Constantine (Algeria) vs Vipers (Uganda)

Orlan Pirates (RSA) vs African Stars (Namibia)
TP Mazembe (DRC) vs Zesco United (Zambia)

Nkana Rangers (Zambia) vs Simba sc (Tanzania)
Ismaily (Misri) vs Coton Sport (Cameroun)
Wydad Casablanca (Morocco) vs Jaraaf (Senegal)
Al Ahly Benghazi (Libya) vs Mamelodi Sundowns (RSA)
Al Ahly (Misri) vs Jimma Kenema (Ethiopia)
Stade Malien (Mali) vs Asec Mimosas (Ivory Coast)
AS Vita (DR Congo) vs Bantu (Lesotho)
Club Africain (Tunisia) vs Al Hilal (Sudan)
Otoho d’Oyo (Congo) vs Platinum (Zimbabwe)
Al Nasr (Libya) vs Horoya (Guinea)
Saoura (Algeria) vs IR Tanger (Morocco)
Gor Mahia (Kenya) vs Lobi Stars (Nigeria).

Tanzania inawakilishwa na klabu ya soka ya Simba ambayo itacheza na Nkana Rangers ya Zambia, ambapo inaanzia ugenini nchini Zambia.

Sambaza....