Ukiangalia mafanikio ya Brazil kwenye kikosi chao cha mwaka 2002 kulikuwa na wachezaji 8 ambao majina yao yanaanza na R hivyo huwa tunaita kizazi cha "R".
Vilevile Ghiggia ndiye mchezaji wa mwisho aliyekuwa amebakia wa vikosi vya pande zote mbili vya Brazil na Uruguay vilivyoshiriki katika fainali ile ya kihistoria ya mchezo wa Kombe la Dunia mwaka 1950.
Baada ya kufanikiwa kuwaondosha Burundi katika hatua ya awali sasa Tanzania inasubiri upangwaji wa makundi ili kuweza kuanza safari ya kufuzu kombe la Dunia nchini Qatar.
Wachezaji nyota Ulimwenguni Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wanarejea kuzitumikia timu zao za Taifa kwa mara ya kwanza toka kumalizika kwa michuano ya kombe la dunia iliyomalizika mwaka jana nchini Russia. Messi anatarajiwa kuanza kwenye mchezo wa leo Ijumaa ambapo Argentina watacheza dhidi ya Venezuela jijini Madrid kwenye mchuano wa...