Kombe la Dunia

Etienne: Tupo tayari

Sambaza kwa marafiki....

Ndayiragije Etienne kocha wa zamani wa KMC, na sasa Azam Fc, anakaimu kufundisha timu ya Taifa stars.  Leo anamtihani mzito dhidi ya timu yake ya nyumbani.

Kwa upande wake amesisitiza mara nyingi iweledi na umuhimu wa kuangali na kuahakisha maandalizi ya timu kwa ujumla kuelekea mchezo huu muhimu.

Marudio ya mechi hii itakuwa tarehe nane mwezi huu jijini Dar es Salaam.

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.