Moja ya tukio ambalo analikumbuka vizuri mwenyekiti wa zamani wa Simba, Ismael Aden Rage ni kitendo cha Yanga kumpora Mbuyu Twite katika uwanja wa Taifa.
Ame maarufu kama Varane anasifika kwa umbo lake kubwa lililojengeka, utulivu na uwezo mkubwa wa kucheza mipira ya juu. Katika Msimu huu uliomalizika yeye na Mwamunyeto wa walikua na pacha nzuri na kupelekea Coastal Union kutoka na "cleansheet" 13.
Baada ya klabu ya Yanga kuanza vurugu za usajili na Azam fc mashabiki wengi wa Simba wamekua wakisubiri kwa hamu kuona maboss wa Msimbazi wakijibu mapigo kwa kutambulisha nyota wapya
Kiungo Ibrahim Ajib aliekosa nafasi katika klabu ya Simba baada ya kurejea akitokea Yanga huenda akatolewa katika timu baada kushindwa kugombea nafasi mbele ya kina Chama, Luis, Kahata na Dilunga.
Hizi ndio timu bora 10 katika mechi 106 zilizocheza kwa misimu mitatu. Lakini kumbuka, kuna timu mbili katika timu hizi bora msimu ujao hatutakuwanazo katika Ligi Kuu Tanzania Bara.