BlogSaa saba ya Simba imejibu!Thomas Mselemu4 years agoKama klabu tunafanya mipango yetu lakini hatuwezi kusema kila kitu. Hata hao wengine pia tunaangalia uwezekano wa kua nao."
BlogNatamani John Bocco astafu akiwa Azam FC na siyo SimbaMartin Kiyumbi4 years agoTanzania ishawahi kubarikiwa washambuliaji wengi wazuri wa kati . Inawezekana kizazi hiki kipya kinaweza kisikuelewe sana kama ukiamua kutaja washambuliaji...
BlogKina Morrison , Kagere kupimwa Corona !Martin Kiyumbi4 years agoLigi kuu Tanzania bara mpaka sasa hivi iko njiani kurudi tena. Wakati tunasubiri wakati sahihi wa kurudi ligi hii na...
BlogSimba inarudi tena na ile saa saba mchana ya usajili.Thomas Mselemu4 years agoBasii ulee mtindo unarudi tena kuanzia Jumamosi hii ya tarehe 23 mwezi huu.
UhamishoKipa KMC: Naitaka Simba, Yanga walinishindwa maslahi.!Thomas Mselemu4 years ago"Kuna klabu zingine zilikua zinanihitaji kama Horoya na Nkana Red Devils lakini sikwenda.
BlogIbrahim Ajib ndie Anthony Martial wetu?Thomas Mselemu4 years agoVile ambavyo mashabiki wa United wanamuona Martial kama mchezaji mwenye kipaji cha hali ya juu na hajafika wanapotaka ndivyo ambavyo Ibrahim Ajib
BlogThis Is Simba hakuanzisha Manara, nilianzisha mimi – Antonio NugazMartin Kiyumbi4 years ago Vita ya maneno inazidi kuendelea kati ya Afisa habari wa Simba , Haji Manara na Afisa Mhamasishaji wa Yanga...
BlogManara namzidi kila kitu mpaka elimu – Antonio NugazMartin Kiyumbi4 years agoAntonio Nugaz amezidi kujigamba na kujinasibu mbele ya mpinzani wake mkubwa kwa sasa Haji Manara.
BlogMiraji Athuman: Miguu yenye macho matatu!Ze Mafia4 years agoWatu wa mpira wanakwambia mchezaji anapaswa kuwa na B tatu kwa maana ya Ball Balance, Ball Brain na Ball Control
Ligi KuuVikosi vya Simba na Yanga vitavyokua bila wageni!Thomas Mselemu4 years agoJe vikosi hivi vitaweza kutoa ushindani katika michuano ya Kimataifa kwa maana ya Klabu Bingwa Africa na Kombe la Shirikisho.