Sisi tunampango wa kisayansi . Unajua sayansi haiongopi , kwa hiyo na sisi hatuna mipango ya kuongopa kwa sababu ya ukweli kuwa tutawafunga Simba Sc". Alisema Masau Bwire.
Kupitia taarifa yake iliyotolewa na msemaji wake Cliford Marion Ndimbo imezitaka klabu zote kutokucheza mchezo wowote bila kutoa taarifa katika Shirikisho la Soka