Kuna wakati Yanga walimwihitaji sana Emmanuel Okwi. Uzuri ni kwamba wakati huo ndiyo ulikuwa wakati ambao Yanga wangefanya chochote bila klabu yoyote kuizuia Yanga.
Nchimbi ameiambia tovuti ataendelea kusaka mabao kadri ya nguvu za Mungu zitakavyomruhusu kuweza kufanya vyema na kutupia magoli. Huku pia akiahidi kuendelea kufunga "Hatrick" katika VPL.
Tunaongoza kwa alama 16 ili Yanga atufikie tunatakiwa tupoteze michezo mitano, sasa Sheikh Simba hii inafungwaje michezo mitano? Tutakua wapi? Au tutakua tumelewa au tumelala?