Sambaza....

Jana kulizagaa habari za Obrey Chirwa kusajiliwa na klabu ya Azam Fc. Tovuti yako ya Kandanda.co.tz iliamua kumtafuta manager wa klabu hiyo ya Azam Fc , Philipo Alando kutudhibitishia ukweli huo.

Philipo Alando alipoulizwa kuhusu usajili huo alijibu kwa kifupi kuwa 98% , Obrey Chirwa kasajiliwa na klabu ya Azam Fc. Hakutaka kujibu kwa kirefu hizo 2% zilizobaki ni za makubaliano yapi kati yao na Obrey Chirwa.

Kinachosubiriwa ni Azam Fc kumtambulisha rasmi Obrey Chirwa ambaye inasemekana amesaini kandarasi la miaka miwili.

Chirwa akitambulishwa

Sambaza....