Mataifa Afrika

Adi Yussuf, mshambuliaji mwenye njaa na goli

Sambaza....

Anaitwa Adi Yussuf, Mtanzania anayecheza katika klabu ya Solihull nchini Uingereza. Adi amekuwa na msimu mzuri mpaka sasa akiwa amefunga mabao 14 katika mechi 42.

Katika kurasa zake za mitandao ya kijamii amekuwa akitumia hashtagg #NoGoalsNoSleep akimaanisha asipofunga goli halali.

 

Adi akishangilia moja ya mabao yake

Adi amewahi kuitwa katika kikosu cha Timu ya Taifa, Tanzania hapo kabla. Je ana nafasi katika ndege inayoenda Misri? Tusubirie maamuzi ya benchi la ufundi.

#NaniAtavaaJeziYaBlue?


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.