Ligi Kuu

Balinya atua Yanga

Sambaza....

Mshambuliaji raia wa Uganda Juma Balinya rasmi leo ametambulishwa kujiunga na klabu klabu ya Yanga kwa mkataba wa miaka miwili.

Balinya (Kulia)

Balinya aliibuka mfungaji bora msimu uliopita katika Ligi Kuu ya Uganda akifunga jumla ya mabao yasiyopungua 21.

Pia mchezaji huyo alikua akiwindwa na watani zao Simba sc. Juma Balinya anajiunga na Yanga akitokea timu ya Police Uganda.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.