Tetesi

SIMBA yaipindua YANGA, Yamtaka Kiungo wa UD SONGO

Sambaza....

Baada ya tetesi ya muda mrefu ya Yanga kutaka kumsajili kiungo wa UD Songo , Luis Jose Misquissone tetesi hizi zinaelekea ukingoni kwa Yanga kushindwa kumsajili mchezaji huyu.

Mashabiki wa Yanga kwenye mechi ya Simba vs JS Saoura

Imeelezwa kuwa Yanga imeshindwa kumsajili kiungo huyu hatari ambaye aliwasumbua Simba kwenye mechi ya ligi ya mabingwa barani Afrika kutokana na dau la uhamisho kuwa kubwa.

 

Yanga wametakiwa kulipa ada ya uhamisho wa shilingi milioni 110 za kitanzania pesa ambazo kwa sasa Yanga hawana. Inasemekana kuwa Simba imeingia moja kwa moja katika mbio za kumchukua mchezaji huyo.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.