Tetesi

Mfahamu beki Mbrazili wa Simba

Sambaza....

Anaitwa Gerson Fraga Vieira (kazaliwa tarehe 4 Oktoba 1992), unaweza muita Gerson pia, ni Mbrazili anayecheza soka la kulipwa nchini India katika klabu ya ATK, akicheza nafasi ya beki.

Imeandaliwa na: Hashim Mbaga


HISTORIA YAKE BINAFSI

Amezaliwa Porto Alegre Huko Brazil mnamo 04 October 1992 Kwa maana sasa ana Umri wa miaka 26.
Nafasi anazocheza ni KIUNGO WA KATI, KIUNGO WA NYUMA, BEKI YA NYUMA, BEKI YA PEMBENI kifupi ni Mtu wa mwisho au Kiraka halisi KITASA.

HISTORIA YAKE YA SOKA
Ilianzia katika Academy maarufu sana ya GREMIO nchini Brazil akiwa kama Youth mwaka 2000 hadi 2013.

GREMIO ACADEMY
Ni moja ya kituo kikubwa sana na maarufu sana Brazil Cheney historia kubwa sana toka enzi na enzi imelea na kutoa wachezaji wengi sana waliokuwa Wakubwa wa Brazil kama hawa wafuatao Anderson, Lucas, Eduardo Costa, Leiva, Lucio na Ronaldinho.
Kwa Data za vituo maarufu vikubwa hiki kipo katika Top 10 duniani kwa uzalishaji.

Akiwa hapa ndio walioitwa NATIONAL TEAM YA BRAZIL.

Timu ya Taifa ya Brazil U15 mwak 2007 amecheza na Wametwaa Mediterranean International Cup.

Timu ya Taifa ya Brazil U17 Amecheza mwaka 2009 Mpaka World Cup U17 akiwa Kapten wa timu hii.

Kipindi hiki cha National Team ndio alikuwa anacheza na kina
Neymar, Philippe Coutinho na Allison Becker.

SENIOR CAREER

2013 – 2015 Amecheza Timu ya Gremio ya ligi ya Brazil(Seriea A)

2016 – 2017 Amecheza Mumbai City Iliyopo Indian Super League.

2017 – 2018 Ameenda Japan timu ya Renota Yamagushi.

30 june 2018 – 31 May 2019 Amerudi India Kwa Mabingwa wa India Alletico de Kolkata ATK waliopo Indian Super league.
NOW YUPO – Academy ya Gremio ambao ndio Agent wake.

HUYU NDIO KITASA KIRAKA FUNDI
GERSON FRAGA VIEIRA
ANAETUMIA TERMINAL 3 KU ARRIVAL.

MTORI UMELETWA NA BAKULI LA CHUMA WAMOTOOO ILA KUNA WATU WABARIIII

Sambaza....
Subscribe
Notify of

0 Maoni
Inline Feedbacks
Tazama Maoni Yote
0
Tungependa kupata maoni yako, tafadhali tuambiax
()
x