Ligi Kuu

Emmanuel Anorld Okwi!

Sambaza....

Mshambuliaji wa Wekundu wa Msimbazi Simba amekua mwiba katika michezo ya klabu yake kuelekea mwishoni mwa ligi akiisaidia Simba katika upachikaji mabao na kutoa msaada wa mabao.

Katika mechi tano za mwisho Emmanuel Okwi akiwa na Simba amefunga mabao manne na kutoa pasi moja ya bao. Kwa maana hiyo Okwi amehusika katika mabao matano katika michezo mitano ya Simba.

Okwi amefanya hivyo katika michezo dhidi ya Coastal Union, Tanzania Prisons, Mbeya City, JKT Tanzania na Kagera Sugar.
Kwa takwimu hizo Okwi amesogea katika chati ya ufungaji mabao na kumfanya kuwanyemelea Heritier Makambo na Meddie Kagere kileleni.

Na.MchezajiTimuNafasi
1Meddie KagereMshambuliaji23
2Salimu S. AiyeeMshambuliaji18
3Heritier MakamboMshambuliaji17
4John R. BoccoMshambuliaji16
5Emmanuel A. OkwiMshambuliaji15


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.