
Ndayiragije Etienne kocha wa zamani wa KMC, na sasa Azam Fc, anakaimu kufundisha timu ya Taifa stars. Leo anamtihani mzito dhidi ya timu yake ya nyumbani.
Kwa upande wake amesisitiza mara nyingi iweledi na umuhimu wa kuangali na kuahakisha maandalizi ya timu kwa ujumla kuelekea mchezo huu muhimu.
Marudio ya mechi hii itakuwa tarehe nane mwezi huu jijini Dar es Salaam.
Unaweza soma hizi pia..
Mechi Iliyoamua mshindi hatua ya Makundi Kombe la Dunia
Hii ilikuwa ni Kombe la Dunia mwaka 1950, mechi ya Uruguay dhidi ya Brazil. Mechi ambayo iliamua mshindi hatua ya makundi.
Brazil na maajabu ya herufi “R”
Ukiangalia mafanikio ya Brazil kwenye kikosi chao cha mwaka 2002 kulikuwa na wachezaji 8 ambao majina yao yanaanza na R hivyo huwa tunaita kizazi cha "R".
Ghiggia, ‘Jini’ aliyepeleka balaa Maracana 1950
Vilevile Ghiggia ndiye mchezaji wa mwisho aliyekuwa amebakia wa vikosi vya pande zote mbili vya Brazil na Uruguay vilivyoshiriki katika fainali ile ya kihistoria ya mchezo wa Kombe la Dunia mwaka 1950.
Tanzania kuwajua wapinzani wake leo!
Baada ya kufanikiwa kuwaondosha Burundi katika hatua ya awali sasa Tanzania inasubiri upangwaji wa makundi ili kuweza kuanza safari ya kufuzu kombe la Dunia nchini Qatar.