Ligi Kuu

‘Hatuidharau Africa Lyon’ -Juma Abdul

Sambaza....

Nahodha wa klabu ya Yanga, Juma Abdul, ambaye ataiongoza Yanga leo dhidi ya Africa lyon amesema hawaidharau African Lyon, lakini wanazitaka alama tatu zao baada ya kupoteza mbili dhidi ya Ndanda.

Abdul alikuwa akiongea na mtandao wa klabu yake ya Yanga, aliomgeza kwa kusema mchezo wa sare dhidi ya Ndanda ulishamalizika, wanaangalia huu sasa.

Yanga itakuwa ikicheza na Africa Lyon katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara leo jijini Mwanza katika uwanjavwa CCM Kirumba.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.