Blog

Hawa ndio washindi wetu wa kutabiri mfungaji bora

Sambaza....

Tovuti yetu ya kandanda iliwapa nafasi wasomaji wetu kutuandikia Jina la mchezaji na idadi ya magoli yatakayofungwa mwisho wa msimu wa Ligi Kuu. Hawa ndio washindi wetu ambao watakabidhiwa fulana nzuri kabisa kutoka Kandanda.co.tz ambayo ipo chini ya kampuni ya GALACHA.

Tafiti Kidava (Dar es Salaam), Arone Johnsone (Mbinga) na Ceaser Patrick (Dar s salaam)

Wanakandanda hawa wote walikuwa wa kwanza kutabiri mabao 23 ya Meddie Kagere. Watakabidhiwa zawadi zao wakati Kandanda wakitoa zawadi kwa Meddie Kagere.

Meddie Kagere

Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.