EPL

Hii playing style ya Arsenal itawafikisha kwenye ubingwa?

Sambaza....

Uchambuzi huu mfupi umetolewa katika ukurasa wa wapendasoka facebook. Unatazama ubora wa namna ya chezaji wa klabu ya Arsenal na udhaifu wake.

✍🏼 Ebu leo tuzungumze hili match 3 hizi tumecheza upi ubora wetu ulipo na wapi tunakuwa less productive.

✍🏼 Kimbinu zaidi Arsenal anacheza fluidity football nikiwa na maana mpira una tembea kwenye kila njia kwanzia kwamabeki viungo hadi forward kwa kupigiana series ya pass na movements za wachezaji na mpira kufanyika kwa haraka.

✍🏼 Uchezaji huu umetufanya baadhi ya nyakati kuwa dominant mno kimchezo nisikilize kwanini.

✍🏼 Arteta anajua anacheza bila natural RB (Right Back) match zote tatu hizi ila ana LB (Left Back) ambae ni zincheko.

✍🏼 Hivyo kucheza back 4 fluidity inaweza kuleta shida kiasi transtion sababu ya atributes za beki kulia.

✍🏼 Hivyo kipindi team ikiwa na mpira Zincheko anapewa free role ndio maana tunamuona kila sehemu hadi eneo la kiungo hii inasaidia kushambulia maeneo tofauti (attacking different spaces).

✍🏼 Halafu nyuma tubaki na back 3 kwa mazingira haya basi upande kushoto unakuwa na threats za kutosha sababu dimension play iko balanced kulinganisha na kulia ambapo white yupo more defensive hivyo at saka ode combination inakosa threats kubwa kam msimu jana

✍🏼 Pia eneo la kiungo tuna overload sababu zinchenko aingia ndani na kufanya viungo kuwa 3 licha kwamba wanaoperate kwenye zones tofauti

✍🏼 ndio maana nasema on paper utakuta mfumo 4-2-3-1 ila display uwanjani tukiwa n mpira ni 3-2-5 au 3-3-4 nk kulingana na nyakati imesaidia team kutokuwa predicted ( kutabilika)

✍🏼 forward line Jesus anafanya hata winger forward kuwa na threats sababu anarudi chini kufanya link up na kufungua space wengine kufunga hana selfish

✍🏼 fuatilia magoal ya Odegaard ni movements ambazo Jesus kaanzisha kwa dribiling uhakika sishangai game 3 ana assits 3 goal 2

✍🏼 udhaifu wetu ni huu hapa intensity team bado inahitaji energy kucheza kwenye kiwango kile kile muda mrefu

✍🏼 Kitu kama hiki unakikuta liverpool wanapress 90minutes bila kuchoka sisi bado kuna nyakati tuna rudi nyuma na kuinvite pressure

✍🏼 Jambo la kubalika haraka endapo tutakutana team zinapress bila kuchoka mentaly na physicall

✍🏼 Pia tunahitaji press restance sehemu kiungo kuna nyakati loney pivot ya partey pekee haiwezi zuia team zenye viungo wengi wanyumbulifu

✍🏼 Mwisho mwanga unaonekana ni kuongeza juhudi individual na tacticall approach.

Tupe maoni yako, ikiwa sasa imecheza mechi sita (6) na alama 15.

Sambaza....