
As Vita tayari ipo nchini ilikiwa na kikosi chake kamili ili kuwavaa wenyeji wao Simba Sports Club “Wekundu wa Msimbazi” ili angalau kutafuta nafasi ya kufuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa.
Kikosi kamili cha wachezaji 20 wa AS Vita waliotua Dar ili kutafuta nafasi ya robo fainali hiki hapa.
Unaweza soma hizi pia..
Msemaji Simba: Mambo ni magumu!
Kila mwanasimba anatakiwa kufahamu hilo na kukubali mambo ni magumu.
Kola na mfupa uliomshinda Mayele!
Licha ya Fiston Mayele kusifiwa na kuoneoana ni moja ya washambuliaji hatari katika Ligi lakini hakufanikiwa kufunga
Alli Kamwe: Kumbe bila moto wanateseka!
: Asante Moalin. Asante Pablo Franco, Mechi ilichezwa sana kwenye mbinu kisha ikamalizikia kwenye Ufundi wa wachezaji.
Azam kujimaliza yenyewe mbele ya Simba!
Miongoni mwa maeneo yatakayopa ushindi Simba katika mchezo huo ni eneo la kiungo na eneo la mlinda mlango.