
Baada ya kuondolewa katika klabu ya KMC, Humoud Abdulkarim Ali, , kwa sababu nyingi ikiwemo kusumbua wake za wachezaji wenzake, inasemekana amepata timu.
Tetesi ambazo tumepata zinasema Humuod atajiunfa na klabu ya Coastal Union kutoka Tanga.
Humud alitolea maelezo tuhuma alizopew na KMC na kuzikana zote.
Unaweza soma hizi pia..
Manara ataja timu atakayokwenda Morrison.
Kila lakheri huko uendako, kwa taarifa nilizozipata mida hii najulishwa unaelekea klabu kubwa Barani Afrika
Simba yatangaza rasmi kuachana na Morrison
Kumekuwepo na tetesi zinazomuhusisha Benard Morrison kurejea klabu yake ya zamani Yanga ambayo aliitumikia kabla ya kujiunga na Simba.
Simba: Tunawaza kumsajili Simon Msuva!
Kwasasa Simon Msuva yupo nchini akiwa hana klabu anayoichezea baada ya kushindwa kufikia muafaka na waajiri wake Wydad Casablanca
Kibwana: Inawauma lakini nipo Yanga!
Uwepo wa Kibwana Shomary tena kwa miaka miwili Yanga kunahatarisha nafasi za walinzi wa kushoto wa Yanga pia kina Yassin Mustapha na Bryson Raphael.