Ligi Kuu

Huu ndio mchanganuo wa magoli 100 ya John Bocco

Sambaza....

Nahodha wa zamani wa Azam fc na wa sasa wa Simba Sports Club amefanikiwa kufunga magoli 100 katika Ligi Kuu Bara baada ya kuvitumikia vilabu viwili vikubwa nchini Tanzania yaani Simba Sc na Azam fc.

Katika magoli 100 ya Bocco aliyafunga kuanzia mwaka 2008 katika msimu wake wa kwanza akiwa na Azam mpaka kufikia mwaka huu akiwa na SimbaSc. Ambapo magoli 84 aliyafunga akiwa na Azam huku 16 akifunga akiwa na  Simba.

Mchanganuo wa magoli Bocco!

Septemba 24, 2008, John Bocco alifungua akaunti yake ya mabao kwenye Ligi Kuu Tanzania pale alipoisaidia Azam FC kushinda 2-0 dhidi ya Toto Africa ya Mwanza.

Bao lake la dakika ya 38 lilikuwa la pili katika mchezo huo, baada ya Salum Abubakar ‘Sure Boy’ kufunga bao la kwanza mapema dakika ya 6.

Mabao 100 ya Ligi ya John Bocco yako katika mchanganuo ufuatao.


Ngao ya Jamii

MsimuTimu
Jumla-

Klabu Bingwa Afrika Kundi D

MsimuTimu
2022-2023Simba SC0000000
2021-2022Simba SC0000000
Jumla-0000000

TPL

MsimuTimu
2022-2023Simba SC9010010
2008-2009Azam FC1000000
2023-2024Simba SC2000000
2009-2010Azam FC14000000
2010-2011Azam FC12000000
2011-2012Azam FC19000000
2012-2013Azam FC7000000
2013-2014Azam FC7000000
2014-2015Azam FC2000000
2015-2016Azam FC12000000
2016-2017Azam FC10000000
2017-2018Simba SC14000000
2018-2019Simba SC16000001
2019-2020Simba SC9000000
2020-2021Simba SC0000000
2021-2022Simba SC3000000
Jumla-137010011

*Takwimu sahihi ni magoli tu

 

Miaka 10 baadaye, 2018, John Bocco alifikisha mabao 98 kwenye Ligi Kuu msimu jana. Akawa amebakiza mabao mawili kufikisha jumla ya idadi ya magoli 100.

Msimu wa mwaka 2017/2018 ndiyo tulishuhudia pia John Bocco akishinda tuzo yake ya kwanza ya mchezaji bora wa VPL, tuzo ambayo kimsingi alistahili kuipata miaka mingi iliyopita.

Msimu wake wa pili, 2009/10, John Bocco alifunga mabao 14 kwenye VPL na alitoa mchango mkubwa sana kwa Azam FC iliyomaliza Ligi kwenye nafasi ya tatu lakini kura hazikutosha kumpa uchezaji bora wa ligi kuu.

Mussa Hassan Mgosi – 18
John Bocco – 14
Mrisho Ngassa – 14

Msimu wa 2011/12, John Bocco alikuwa wa moto na alistahili kuwa mchezaji bora wa VPL, alifunga mabao 19 yaliyompatia tuzo ya kiatu cha dhahabu lakini akabaniwa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka.

Sambaza....
Subscribe
Notify of

0 Maoni
Inline Feedbacks
Tazama Maoni Yote
0
Tungependa kupata maoni yako, tafadhali tuambiax
()
x