
Klabu ya soka ya Yanga baada ya kuachana na Cedrik Kaze raia wa Burundi kutokana na matatizo ya Kifamilia leo hii imemtangaza kocha mpya watakaekua naya msimu ujao wa Ligi.
Yanga imemtangaza Zlatiko Klempotic raia wa Serbia kua kocha wao mpya ambapo atakwenda kusaidiana na Juma Mwambusi kama kocha msaidizi.
Zlatiko alikua kocha wa Polokwane City ya Afrika Kusini kabla ya kuamua kuvunja mkataba na kujiunga na Yanga. Ni kocha mwenye uzoefu na soka la Afrika.
Amepitia vilabu vinne vya Afrika TP Mazembe, Zesco, Rayol Sports na Polokwane alipokua mpaka sasa.
Unaweza soma hizi pia..
Ilikua ni Sopu dhidi yaYanga.
Sopu alivunjavunja ile 'partnership ' ya Job na Mwamnyeto ya ndani ya klabu na timu ya Taifa, maana huwa wanacheza hivyo hivyo
Yanga yataja siku ya kumtambulisha Aziz Ki!
Senzo Mazingisa pia alikanusha uvumi wa Fiston Mayele kusajiliwa na Kaizer Chiefs na kusema kuna wanahabari wanataka kuwachanganya.
Tamu na chungu za dakika ya mwisho!
Ligi kwa ujumla ilikuwa ngumu na yeye kusisimua licha ya bingwa kupatikana mapema lakini kiwango cha ushindani kilikuwa kikubwa hadi dakika ya mwisho.
Hizi hapa mechi kali zakumalizia Ligi!
Binafsi hii ndiyo michezo mikubwa miwili ninayoiangalia kwa jicho la uoga kwa kuwa ina maamuzi na hatma ya timu. Fiston Mayele na George Mpole!?