
Ligi Kuu Tanzania bara, inayodhaminiwa na NBC inaelekea ukingoni. Mtandao huu unawakaribisha washabiki wa kandanda kupendekeza mchezaji ambaye ni bora zaidi katika msimu 2021/2022.
Tuandikie jina lake na kwanini unadhani anastahili kuwa mchezaji bora wa msimu.
Mchezaji atakayezungumziwa zaidi katika sehemu ya maoni hapa ataibuka kama “Best Footballer by Fans”
Unaweza soma hizi pia..
Mtibwa na mchezo wao wa karata.
Kama ningeulizwa ya Mtibwa Sugar FC ilipaswa kuwa timu ya mchezo gani basi jibu langu la moja kwa moja ingekuwa...
Mpole ni sugu aliahidi ufungaji bora!
ni sugu na jasiri sana hana uwoga hata kidogo na ni mtu wa kujitoa mhanga na ni mpambanaji haswa.
Tamu na chungu za dakika ya mwisho!
Ligi kwa ujumla ilikuwa ngumu na yeye kusisimua licha ya bingwa kupatikana mapema lakini kiwango cha ushindani kilikuwa kikubwa hadi dakika ya mwisho.
Simba nafasi ya pili, fuatilia msimamo mubashara
Tayari Yanga ameshatangazwa bingwa wa msimu wa 2021/22. Fuatilia msimamo huu live wakati mechi zikiendelea. Nitakuwa nakuletea dondoo zangu hapa...