Mataifa Afrika

Kikosi cha Amunike chaanza mazoezi

Sambaza....

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, jioni ya leo (Jumamosi)  kimefanya mazoezi yake ya kwanza katika kambi yake nchini Misri

Kikiongozwa na Emmanuel Amunike, mazoeI yaoifanywa katika uwanja wa Movenpick.

Stars wakiwa Misri

Wachezaji 32 wapo kwenye Kambi huko Misri ambapo watachujwa na kubaki wachezaji 23 kwaajili ya mashindano ya AFCON.

Kambi hii mbali na maandalizi ya AFCON, pia ni kwaajili ya mechi ya kirafiki dhidi ya Misri na Zimbabwe.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.