Timu ya Tanzania jana ilikuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Misri, katika mchezo huo Tanzania ilipoteza kwa kufungwa bao moja bila. Je Kiwango cha timu umekikubali? Pitia uchambuzi huu
Uitwaji wa Kikosi cha Stars na jinsi kikosi hicho kinavyocheza, wadau wa soka wamekuwa wakimlaumu Amunike, na wengine kusema ilibidi aondoke baada ya kufuzu tu. Je hiki kisa unakikumbuka?
Tumlaumu Mkude mwenyewe kwa kushindwa kwenda CAN 2019 nchini Misri si Amunike. Tenga muda uisome kwa makini hii.
Nini ambacho Mkude anatakiwa kufanya....
Kuachwa kwa wachezaji hawa ‘mastaa vijana’ kutoka klabu kubwa nchini za Simba na Yanga kunapaswa kuwafumbua zaidi kimchezo vijana hao kama kweli wanataka kufikia malengo yao makubwa.