Meddie KagereMeddie Kagere (Simba Sc)
Ligi Kuu

Kwa misimu miwili bado Kagere hakamatiki

Sambaza....

Mshambuliaji makini kabisa wa klabu ya Simba SC, Meddie Kagere, bado ni kinara wa kupachika mabao kwa msimu huu wa Ligi Kuu ya Vodacom, na hata ukijumlisha msimu uliopita na huu bado yeye ni kinara.

Mpinzani wake wa msimu uliopita, Salum Aiyee ameanza msimu huu vibaya zaidi na haonekani kuleta changamoto yoyote kwa Kagere ambaye hadi sasa ana goli 10 akifuatiwa na Saliboko kutoka Lipuli FC.



 

Sambaza....