Mabingwa Ulaya

Liverpool ni vinara wa bara la Ulaya na Uingereza

Sambaza....

Mabao mawili kutoka kwa Mo Salah na Orig, yameipa kombe la sita la Ligi ya Mabingwa Ulaya katika jiji la Madrid.

Mo Salah akishangilia

Liverpool ilikuwa ikipambana na Tottenham Hotspur zote kutoka nchini Uingereza.

Uchambuzi zaidi utafuata…


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.