Blog

Mechi za Timu ya Tanzania wakivaa Jezi Mpya

Sambaza....

Hizi ni mechi za Tanzania ikiwa inavaa jezi mpya za Timu ya Taifa. Tutaendelea kurekodi hapa matokeo ya mechi zote za Timu ya Tanzania zitakazokuwa zikivaa jezi iliyozinduliwa kwaajili ya AFCON 2019.


Mbwana Samatta (Wa pili kushoto), nahodha wa Taifa Stars, mechi ya kwanza ya kirafiki dhidi ya Misri.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.