Ligi Kuu

Mimi ndiye niliyemsajili Molinga- Zahera

Sambaza....

Baada ya maneno mengi ya kumkebehi mshambuliaji wa Yanga , David Molinga ambaye ni raia wa Congo, kocha mkuu amekiri yeye ndiye aliyemsajili.

“Usajili tulikuwa tumemaliza, ila ilipokuja taarifa ya sisi kucheza michezo ya kimataifa nilifikiria kuongeza mtu wa kusaidizana na washambuliaji wengine.

Nilipigiwa simu kutoka Congo wakati huo nikiwa Ufaransa kuwa David Molinga hana timu , ndipo nilipowapigia viongozi wa Yanga kuwaambia kuna mshambuliaji mzuri ninamjua tunaweza kumuongeza kwenye kikosi chetu”- alidai kocha huyo kutoka Congo


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.