Aussems, kocha wa Simba
Mabingwa Afrika

Natamani kikosi cha Simba kiwe hivi kesho!

Sambaza....

“DO or DIE” ndio msemo uliotawala wiki nzima na sasa mwisho wake ni kesho baada ya dakika 90 pale Uwanja wa Taifa almaarufu “Kwa Mkapa”. Baada ya mchezo kuisha Hajji Manara atatuelezea nchi kama TUSUBIRI RATIBA YA ROBO FAIALI au TUMEKUFA KIUME.

Kuelekea mchezo huo nimgetamani kikosi cha Simba kiwe hivi:

Matarajio ya kikosi cha Simba dhidi ya Vita

Tupe maoni yako nawewe ungependa kumuona nani katika kikosi cha kwanza cha Simba kesho dhidi ya AS Vita.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.