Ditram Nchimbi (Polisi FC)
Ligi Kuu

Nchimbi yupo, na kapata kiatu chake tayari

Sambaza....

Ditram Nchimbi aka Duma 29 amekabidhiwa kiatu chake ikiwa ni sehemu ya kusheherekea na wachezaji wanaofunga mabao mengi kwa mwezi.


Nchimbi aliifungia Polisi Mabao maytatu mwezi Oktoba na kuibuka Galacha wa mwezi huo alipoifunga Klabu yake ya Sasa bao 3 katika sare ya 3-3. Nchimbi anagoli 4 za Ligi Kuu Tanzania Bara hadi sasa.

 


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.