Ligi

Realmadrid kuibomoa Liverpool

Sambaza kwa marafiki....

Magoli 14 na pasi 8 za magoli , hizi ni takwimu ambazo msimu huu Saido Mane ameziweka. Saido Mane kwa sasa amekuwa mchezaji ambaye anafanya vizuri sana duniani. Amekuwa mshambuliaji hatari zaidi duniani kwa sasa.

Realmadrid imeamua kumnyatia mshambuliaji huyo. Tangu aondoke Cristiano Ronaldo hakuna mchezaji anayetokea pembeni na kufunga aliyepatikana kwenye kikosi cha Realmadrid.

Sadio Mane

 

Kwa hiyo Realmadrid wameamua kutaka kumng’oa Liverpool na kumleta kwenye kikosi hicho cha ligi kuu ya England. Tayari Realmadrid wameshafanya mazungumzo na wawakilishi wa Saido Mane , Saido Mane ana mkataba na Liverpool unaoisha mwaka 2023.

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.