Mabingwa Ulaya

Samatta aweka rekodi tatu UEFA

Sambaza....

Licha kwamba timu yake ya KRC Genk imepoteza kwa kipigo kikubwa cha 6-2 kutoka kwa Salzburg, lakini hizi hapa ndio rekodi ambazo Mbwana Samatta ameweka baada ya dakika tisini kumalizika.


1 Anakuwa mchezaji wa kwanza kutoka Tanzania kucheza michuano mikubwa ulimwenguni ya Ligi ya Mabingwa Ulaya


2 Mchezaji wa kwanza kutoka Tanzania kufunga katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika


3 Mchezaji wa kwanza kutoka Afrika mashariki na kati kufunga katika mechi yake ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.