BlogMbwana Samatta amtaja nyota wa Liverpool!Thomas Mselemu4 years agoNakumbuka wakati sisi (Genk), tulicheza kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Liverpool ilikuwa ngumu kumpita.
Mabingwa UlayaSamatta aweka rekodi tatu UEFAMartin Kiyumbi5 years agoLicha kwamba timu yake ya KRC Genk imepoteza kwa kipigo kikubwa cha 6-2 kutoka kwa Salzburg, hizi ni rekodi zake.
BlogMsikie Samatta baada ya goli lake la kwanza Klabu Bingwa Ulaya.Sekwao Mwendi5 years agoGenk imetupwa katika kundi E ambalo lina vigogo kama Liverpool, Napoli na RB Salzburg. Kundi hili lilicheza michezo yake siku ya Jana Jumanne, Napoli wakiibuka na Ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Liverpool nyumbani, kisha RB Salzburg ikaichapa Genk.
TetesiSamatta kwenda Schalke 04?Martin Kiyumbi5 years agoTetesi hizi zimekuwa kubwa baada ya leo KRG Genk kumsajili mshambuliaji mpya raia wa Nigeria ambaye inasemekana ndiyo atakayeziba pengo lake.
UhamishoSamatta anatafutwa EPLMwandishi Wetu5 years agoSamatta amekuwa na msimu wenye mafanikio baada ya kuifungia mabao 23 klabu hiyo ambayo ilitwaa kombe la ligi yao.
UhamishoMbwana Samata anatakiwa na klabu ya EPL.Thomas Mselemu5 years agoMbwana Samata anaongoza katika chati ya ufungaji mabao katika Jupiter pro League
BlogMechi 20, Magoli 20 hakuna kama Samatta Ulaya yote.Baraka Mbolembole5 years agoNAHODHA wa Tanzania, Mbwana Samatta usiku wa kuamkia leo alifunga magoli mawili ya harakaharaka dakika za mwisho na kuirudisha timu...
BlogTutumie hata kitabu cha Samatta kwa kina AjibMartin Kiyumbi6 years agoDibaji yake inavutia na haitofautiani sana na Dibaji za wachezaji wengi wa Tanzania. Hakuzaliwa katika mazingira yenye utajiri mkubwa, hata...