Mataifa Afrika

Stars mambo ni moto Uganda anatokajee sasaa?

Sambaza....

Kikosi cha Stars leo kimefanya mazoezi yake ya mwisho katika uwanja wa Taifa tayari kabisa kwenda kuandika historia mpya kwa Watanzania siku ya Jumapili kuelekea kufuzu Afcon 2019 nchini Misri.

Katika mazoezi hayo yaliyohudhuriwa pia na nyota wa zamani  walioiwezesha Tanzania kufuzu katika Fainali za Africa mwaka 1980 nchini Nigeria ili kuwapa neno kidogo vijana wao.

Kina Iddi Pazi, Peter Tino na  Athumani Chama walikuepo  Taifa kuwapa maneno  ya ushindi kina Msuva, Samata, Yondani na wenzie.

Tazama hapa picha jinsi hali ilivyokua katika uwanja wa Taifa.

Bocco na Feisal wakisikiliza kwa makini mawaidha ya mwalimu.
Wachezaji wa zamani Stars (Walifuzu Afxon 1980 Nigeria) wakiongea na wachezaji wa sasa
Kocha wa makipa akitoa maelezo kwa walinda mlango wa Stars
Shaban Idd akiwasikiliza kwa makini wachezaji wa zamani wa Stars walioipeleka Tanzania Afcon mwaka 1980

Shiza Ramadhani Kichuya
Feisal Salum na mlinda mlango Menata Mchata
Thomas Ulimwengu akiwa na Aron Kalambo
Mbwana Samata akiwa na Mwalimu Amunike Emmanuel
Kelvin Patrick Yondani “Cotton”
Mbwana Sammata akiwa na shabiki wa Stars
Thomas Ulimwengu

 


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.