Tangu Forbes waanze kuchapisha orodha ya timu zenye thamani kubwa zaidi za kandanda duniani mwaka 2004, ni Real Madrid na Manchester United pekee ndizo zimeorodheshwa katika tano bora
Kocha wa United baada ya kuanza msimu vyema na kuwa na matarajio makubwa ya kufuzu Ligi ya Mabingwa ameonekana kutaka kuendelea kuijenga na kuiimarisha United kwa kuongeza wachezaji watakaendana na falsafa zake na ukubwa wa United.