Blog

Taifa Stars yenye nuru

Sambaza....

Wapwa: Binafsi nimefurahishwa na kikosi hasa chipukizi wengi kupata nafasi naona Coach (Mtaalamu) Kim amefocus sana wakati ujao

Hasa hawa vijana ukinyanyua macho unagundua kuna vikosi viwili hapo kwa wakati moja ,cha vijana na wazoefu ambao wengine wengi hawana miaka kadhaa mbele ya kuwakilisha Taifa hivyo in vyema kwenda nao wote kwa pamoja ilhali seniors watakapoachia chombo wanaokuja wasio na ugeni wa 100%

Kwenye mtizamo wa vijana unaweza kuona golini yupo 1. Msheri 2 Mwenda 3 Kibabage 4 Mwaikenda ,Abdulrazak, Mnonga, Andambwile, Dismas, Mbappe ,Kibu na Starkle

Kikosi chenu cha wazoefu hapo ni 1 Manula 2 Kapombe 3 Tshabalala 4 Job 5 Mwamnyeto 6 Mkude 7 Msuva 8 Feisal 9 Reliant 10 Samatta 11 Farid

Bado wanafaida ya watu kama Mzamiru Mpole ,Mauya huu ni mtizamo wangu usije ukadhani ndiyo itakuwa hapa namaananisha faida kwenye uteuzi huu
kwa wakati uliopo na ujao

Huwa kuna madhara makubwa kwa generation yenye quality kuzaliwa kwa wakati moja au kupishana chini ya miaka miwili hadi mitatu tu,maana


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.