Ally Ramadhani akiwa na wachezaji wenzake wakimsikiliza kocha kwa makini.
Ligi Kuu

Tazama msimamo uone KMC ilivyoweka rekodi ya kutisha!

Sambaza....

Ligi Kuu Bara ikiwa ni miongoni mwa Ligi zilizoathiriwa na ugonjwa wa Corona Duniani na kupelekea kusimamishwa  kwake huku baadhi ya timu zikipata nafuu huku zingine ni kama zikiwa zimeathirika kwa kusimama kwa Ligi kutokana na form nzuri waliyokua nayo.

KMC ni kama vile wameathirika zaidi kutokana na kusimama kwa Ligi na hii ni kutokana na wakati mzuri waliokua nao katika michezo yao minne ya mwisho. Katika michezo yake minne ya mwisho KMC imeweza kuibuka na ushindi.

Mashabiki wa KMC “Kino Boys”

Tazama hapa msimamo uone jinsi form za timu mbalimbali katika michezo yake mitatu ya mwisho kabla Ligi haijasimama.

 


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.