Blog

Timu za Ligi kuu msimu 2019/2020 hizi hapa

Sambaza....

Baada ya mechi za mtoano kumalizika,  Mwadui Fc na Kagera Sugar zimeungana na timu 18 za awali zikiwemo timu mbili zilizopanda daraja msimu 209/2020. Msimu huo sasa utawaka moto kwa timu hizi hapa chini.Mwisho wa Ligi Kuu:

  • Nafasi ya Kwanza na ya Pili: Ligi ya Mabingwa Afrika
  • Nafasi ya Tatu: Kombe la Shirikisho la Afrika
  • Nafasi ya Nne: Kombe la shirikisho itategemea kama mshindi wa nafasi ya nne ni bingwa wa FA (ASFC)

Kushuka:

Nafasi ya ya 19 na 20: Zitashuka daraja

Nafasi ya 17 na 18: Zitacheza mechi ya mtoano na timu ambazo zimeshika nafasi ya pili katika makundi ya FA.


Ushindani wa timu hizi ndio utafanya ligi yetu kuwa bora zaidi. Kandanda.co.tz itaendelea na utaratibu wa kusheherekea  na wafungaji wa Mabao kila mwezi na mwisho wa msimu kumpa tunzo mfungaji bora, Galacha wa Magoli wa Kandanda.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.